Tuesday, April 18, 2017

MZEE YUSUPH KUTANGAZA NIA KWENYE SIASA NA KUACHANA NA TAARABU

MZEE YUSUPH KUTANGAZA NIA KWENYE SIASA NA KUACHANA NA TAARABU


Baada ya uvumi kuzidi kuwa mwingi zaidi mtaani juu ya hatma ya mfalme wa muziki wa taarabu mzee Yusuph. Vyombo vingi vya habari vilitabiri kuwa angeachana kabisa na muziki wa taarabu.
Akiongea na Grace Gervas (sauti ya biashara) mtangazaji maarufu wa kipindi cha Nakshi nakshi za Pwani cha Radio SAUT FM ya Mwanza, mfalme afunguka rasmi kuongelea suala hilo zito.
Bonyeza #MZEE-YUSUPH-INTERVIEW# kumsikiliza mwenyewe.

Go to link Download